About Us

Dr.mayaya ni Tabibu wa Afya ya kinywa na meno ambae amepata taaluma yake nchini Tanzania ambapo amehitimu mwaka 2022 na kuweza kusajiliwa katika chama cha matabibu Tanganyika (MCT), mwenye namba ya usagili MCTER.